Thursday 18 October 2012

SIKILIZA KIONJO CHA MOJAWAPO YA VIBAO VIPYA (USINIPE) VYA OFFSIDE TRICK....

I'm listening to nakifungua.mp3 in Hulkshare:

Nakifungua kifua nanena yalotimia ee
Kamwe sitogombania pale nilopotokea
Nakifungua kifua nanena yalotimia ee
Kamwe sitogombania pale nilopotokea

Sili kisicholika ingawa kitu jamali
Na vyema kimepikika na kurashiwa asali
Madamu ni cha shirika kula sitokubali
Kamwe sitohadaika kwa kibakuli cha wali

Kula kitu cha shirika hairidhi yangu hali
Kula kitu cha shirika hairidhi yangu hali

Usinipe kinyama kinukacho moshi
Mila zetu sie ni sumu ndani ya upishi .....

No comments:

Post a Comment