Thursday 6 December 2012

SEHEMU YA LIKIZO YANGU DAR-ES SALAAM TANZANIA.....

Lady F na Double D Mtangazaji mwenza wa Radio Times LIVE Dar Live Dar es Salaam Tanzania
Mtoto wa Pwani wa Ukwee-eeh Lady F akiwa ndani ya studio za Radio Times Tanzania
Lady F akifanyiwa mahojiano kuhusiana na tasnia ya taarab Mombasa katika kituo cha Radio Times Tanzania
Lady F aking'amua bayana ukweli wa mambo kwaraha zake ndani ya studio wakati wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachomilikiwa na Radio Times Tanzania
Mtangazaji mwenza Double D Dida wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachomilikiwa na Radio Times Tanzania
Bi. Hindu na micharazo yake wakati wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani Radio Times Tanzania
Dida wakicharuzana na Bi. Hindu katika kipindi cha Mitikisiko ya Pwani Radio Times Tanzania
Kulia ni mtangazaji wa kipindi cha Mitikisiko ya Pwani Bi. Dida sako kwa baco na Lady F.... Watoto wa Pwani mwatuonaje?
Lady F EXCLUSIVE ndani ya kituo cha Radio Times Tanzania....Hapana Chezea
Lady F na Bi. Hindu...Raha twajipa wenyewe hatungoji kupewa....
Prodyusa wa Mitikisiko ya Pwani Mzee Chapuo, Lady F mwenyewe na Bi. Hindu kwa shida zetuuu...
Mzee Chapuo, Lady F na Bi. Hindu....Mwanamke pozi shostitoooo.....
Mtoto Show Rangi Ya Jogoo akila happy kwa raha zake ndani ya Dar es Salaam Tanzania
Lady F akijiachia kwa raha zake ndani ya Beach Comber Hotel Dar es Salaam Tanzania
Swagga za Toto la Matashtiti Mwa4 na Toto Show Rangi ya Thao....Watatuweza wapi????.
Mwanamke kujiamini mtoto wa kike nimejaa jaa kwa raha zangu ndani ya Radio Times Dar es Salaam Tanzania
Hii ni Promo babu eehhhhh....Filamu kamili iko njiani na Toto la Matashtiti Mwanne Othman ndani ya East African TV Channel 5 & Radio......Hapana Chezea.........

No comments:

Post a Comment