Thursday 6 September 2012

AISHWARYA – ABHISHEK WAPATA KIBARUA KIPYA USIKU KUCHA

Kipenzi mpya wa familia ya Bachchan Aaradhya ambaye ni mjukuu wake Big B yaani Actor Amitabh Bachchan azua kibarua kipya kwa wazazi wake Actor Abhishek Bachchan na Aishwarya Rai.

Sikuhizi wawili hao wana kibarua cha kukesha usiku kucha kumtunza mwana wao Beti B.

Katika kikao na wanahabari na anapopanga kuzindua kipindi chake cha runinga kinachoitwa ‘Kaun Banega Crorepati 6’, Big B yaani Amitabh Bachchan alipoulizwa kuhusu mjukuu wake alisema,  “Aaradhya hasn't begun talking yet, but I hope she will make an effort. She is making the effort.” 

 “So far Aaradhya has been very thoughtful; she hasn't so far given me the reason to keep awake at night. But yes, she keeps Aishwarya and Abhishek awake till very late at night.” 

Kwa sasa Aaradhya Bachchan anafikisha miezi tisa na nusu tangu kuzaliwa kwake.

No comments:

Post a Comment