Saturday 8 September 2012

MAMBO YALIVYOKUWA KATIKA MSAFARA WA PWANI FM NA SUNPRIDE OIL MOMBASANI.....

Mtoto wa mjini mambo makini Lady F mwenyewe akipozi kwaraha zake.
Lady F akitangaza LIVE katika Roadshow ya Pwani FM na Sunpride OIL.
Lady F akitia nuru mathoooo huko Kisauni Mombasa.
Lady F katikati mwa Mji wa Mombasa akichapa kazi kama kawa.
Hapa kazi tu majungu kwaooooo.
Ikibamba sana semaaaaa Pwani & OH YES WE CAN na Mtoto Show Rangi ya Jogoo.
Lady F akimsuta mbajo wa kigunya DJ Fakhrudin.
Hapana chezea Mja wa stara Utalala hoiiii.
Ndie mimi Mtoto Show Rangi ya Jogoo Full mpango mzima.
Dj Fakhrudin, Lady F na Bodyguard wake Zeitun Omar.
Lady F na Bodyguard wake Zeituni Omar.
Lady sham na kitumbo chake, Lady F na Toto Light Brown.
Mwanajuma Ali, Lady F, Judith Ododa na Lady Sham.
Lady F pamoja na mpishi no. 4 Maryan Juma.
Lady F na shosti wake wa ukwee-eh Biasha Malimau.
Lady F na Mashabik wa Pwani FM.
Lady F akimzawadi mmoja wa wapishi huko Tononoka Grounds.
Lady F akimtuza mshindi ambaye ni mpishi aliyebobea na Sunpride vegetable cooking oil.
Wapishi kutoka maeneo mbali mbali wajionjesha majaji mapocho pocho yao.
Wapishi walioshiriki katika shindano la upishi lililoandaliwa na Pwani FM ikishirikiana na Diamond Industries.
Mwanasarakasi Kokoro na mpango wake wa kando akitumbuiza umma huko Tononoka Grounds.
FB dancers wakiachia kiduku na furi furi dance huko Tononoka Grounds.
Vijana pia walijimwaya kwaraha zao na David Mwaringa wa Pwani FM.
Watoto wa mjini hao mwawaonaje?
Halisi halisi ya jinsi mambo yalivyokuwa leo huko Tononoka Grounds.
Lady F hapa akionja mapochopocho yalioandaliwa huko Tononoka Grounds.
Kuonja ni lazima lakini kuombwa sitakiii.
Si wewe Zeitun Omar ni hiyo smile...
Warembo wa mjini waliokuja kujionea mambo yalivyokuwa live bila chenga huko Tononoka Grounds.
Mapochopocho design 1.
Mapochopocho design 2
Mapochopocho design 3
Mapochopocho design 4.
Baadhi ya wapishi wakiwa katika pilkapilka za maandalizi ya mazaga zaga huko Tononoka Grounds.
Maryam Juma akipozi na mapishi yake katika shindano la upishi lililoandaliwa na Diamond Industries ikishirikiana na Pwani FM.

No comments:

Post a Comment