Thursday 6 September 2012

NEW ARABIC RELEASES...2012

Muimbaji maarufu kwa jina la Asala Nasri aibuka na album mpya ya kiarabu inayofahamika kama
'Shakhseya 3anida.'

Nayo album latest ya Ellisa ni 'As3ad Wahda .'

Wael Kfoury naye hajataka kushindwa na aibuka na album yake mpya ya kiarabu inayoitwa 'Ya Dalli Ya Rohi.'


Huku Mohamed Hamaki akitoa yake inayoitwa
'Men Albi Baghan.'

No comments:

Post a Comment