Thursday 6 September 2012

SRIDEVI AFICHUA SIRI YAKE YA UREMBO KATIKA ULIMWENGU WA BOLLYWOOD


Ana miaka 49 lakini utakapomwona utadhani ama umri wa miaka 29…si mwengine ila ni Actress mkongwe Sridevi.

Ni mmoja kati ya actress aliye na umbo mdogo katika ulimwengu wa Bollywood.

Je ni ipi siri ya urembo wake?

Sridevi anasema, “I believe whatever is inside, reflects on your face. I hate fried and junk food. Being happy and in a good state of mind, thinking positive really makes a difference. I love power yoga and love to play tennis with my child maybe that is the reason.” 

Sridevi anatarajiwa kurudi katika fani ya uigizaji kwa kishindo baada ya muda mrefu katika filamu mpya ya kihindi inayojulikana kama ‘English Vinglish.’

Sridevi anasema, “I signed this movie because of the script. I fell in love with the script and of course, I loved Balki's previous movies like ‘Paa' and ‘Cheeni Kum' and I thought the audience would relate to the subject like I do. I am praying that everybody is going to love it.” 

Filamu hiyo itaangazia kuhusu mke anayejikakamua kujifunza lugha ya kiingereza na inatarajiwa kutoka tarehe 15 mwezi Oktoba.

No comments:

Post a Comment