Sunday 16 September 2012

SASA MAMBO SHWARI KATI YA SALMAN KHAN NA RANBIR KAPOOR...

Mambo yanaonekana shwari sikuhizi kati ya Actor Ranbir Kapoor na Salman Khan baada ya wawili hao kutokuwa na uhusiano mzuri kwa mda kutokana na actress Katrina Kaif.


Lakini nini haswa kilichopelekea hadi mambo yakapoa kati ya wawili hao.

Ranbir Kapoor anasema, “A lot of things have been said about Salman, which is unfair. I respect Salman, our families have been friends for years. He is one of the kindest human beings around and has been instrumental in grooming me as an actor. He taught me a few things about working my body, makeup.” 

Akizungumzia kuhusu uhusiano kati yake na actress Deepika Padukone, Ranbir alikuwa na haya ya kusema, “It is great. Deepika has been instrumental in making me who I am today. We had a beautiful relationship, which didn't work out for whatever reasons. But I have taken a lot from it. It is amazing the way she has grown. I am proud of her. Now that we are doing a film together, there is no discomfort.” 

Wakati huo huo Ranbir amevitaka vyombo vya habari kukoma kufuatilia maisha yake ya kibinfasi na kudokeza kuwa kuanzia sasa atakuwa anazungumzia kuhusu kazi yake wala sio jambo lolote linalohusiana na maisha yake ya kibinfasi.

Haya yanajiri baada ya actor huyo kuulizwa na vyombo vya habari kuhusu uhusiano kati yake na na actress Ileana D’Cruz.

Kwa sasa Ranbir yupo bize kupromote filamu yake mpya ‘Barfi’ aliyotoka juzi. (jumamosi)

No comments:

Post a Comment