Friday 7 September 2012

YATAKAYOJIRI WIKENDI HII....

Pwani Fm (Kipindi cha Kwaraha zangu SPECIAL) ikishirikiana na Diamond Industries wanakuletea Road Show Bab kubwa ya kiaina yake kote Mombasani na kinyang'anyiro cha kumtafuta bingwa bora wa mapishi akitumia mafuta halisi ya SUNPRIDE VEGETABLE COOKING OIL huko Tononoka Grounds kuanzia SAA TATU ASUBUHI jumamosi hii ya tarehe 8/9/2012 ambapo wapishi waliobobea kutoka maeneo mbali mbali ya Pwani watapimana ratili ki upishi wa maandalizi mbali mbali ya vyakula na atakayeibuka mpishi aliyebobea No. 1,2,3 basi atajishindia zawadi kem kem kutoka Diamond Industries ikiwemo Gas Cooker, Gift hampers, Shopping Vouchers from Tuskys Supermarket, Maelfu ya pesa na mengi zaidi....KILA ATAKAYEHUDHURIA SHINDANO HILI HATAONDOKA MIKONO MITUPU...USINGOJE KUHADITHIWA...

No comments:

Post a Comment