Sunday 16 September 2012

'JAB TAK HAI JAAN' NDIO JINA LA FILAMU MPYA ITAKAYOMSHUSISHA SRK, KATRINA KAIF NA ANUSHKA SHARMA...



Hatimaye muundaji filamu Yash Chopra amefichua jina la filamu mpya ya kihindi atakAyomhusisha Actor Shahrukh Khan, Katrina Kaif na Anushka Sharma.

Filamu hiyo itakayowahusisha watatu hao itajulikana kama ‘Jab Tak Hai Jaan.’

Filamu hiyo inatarajiwa kutoka katika sikukuu ya Diwali mwezi ‘Novemba mwaka huu.

No comments:

Post a Comment