Friday 7 September 2012

PROFILE YA ARCHANA MANAV DESHMUKH WA KIPINDI CHA PAVITRA RISHTAA...

Ankita Lokhande maarufu kama Archana Manav Deshmukh ni actress wa kihindi katika kipindi cha 'Pavitra Rishtaa.'

Alizaliwa tarehe 19 mwezi Disemba mwaka wa 1983 huko Indore nchini India.

Alianza safari yake katika fani ya uigizaji katika kipindi kinachoenziwa na wengi ulimwenguni 'Pavitra Rishtaa' kinachorushwa kupitia runinga ya ZEE.

Japo alipata pingamizi kidogo kutoka kwa wazazi wake kuhusiana na fani hii lakini baadaye alifanikiwa kupata baraka zao.

Kwa sasa ni mchumba wa Actor Sushant Singh Rajput maarufu kama the former Manav Deshmukh katika kipindi cha 'Pavitra Rishtaa.'

No comments:

Post a Comment