Sunday 23 September 2012

HARUSI YA KAREENA KAPOOR NA SAIF ALI KHAN KUFANYIKA MWEZI UJAO….


 
Hatimaye tarehe ya harusi ishatangazwa rasmi.

Si harusi ya Actor Saif Ali Khan na Actress Kareen Kaif.

Duru zinaarifu kwamba tayari mamake Seif ambaye ni actress katika ulimwengu wa Bollywood Bi.Sharmila Tagore na dadake Saif, Saba Khan washaanza rasmi pilkapilka ya kualika watakaohudhuria harusi hiyo inayotazamiwa kufanyika tarehe 16 mwezi Oktoba kama ilivyopangwa.

Well kutoka hapa tunawatakia kila la kheri maharusi hao.

No comments:

Post a Comment