Sunday 23 September 2012

MWAWAONA WAPENZI WA ZAMANI KWARAHA ZAO….

Wapenzi wa zamani hao yaani Actor Dino Morea na Actress Bipasha Basu wakijiachia kwaraha zako walipokuwa wanatazama filamu mpya ya ‘Raaz 3’ katika ukumbi wa cinema huko nchini India.

No comments:

Post a Comment