Sunday 16 September 2012

PRIYANKA CHOPRA AIBUKA NA KIBAO CHAKE 'IN MY CITY.'

Actress mwenye asili ya kihindi kutoka ulimwengu wa Bollywood Priyanka Chopra amejitosa katika sanaa ya burudani.

Na sasa ameibuka na track yake mpya inayoitwa 'In my City' akimshirikisha Will.i.am.

Sikiliza mwenyewe kwa uhondo kamilii.....

No comments:

Post a Comment