Monday 3 September 2012

MZEE YUSSUF’ AFUNGUA KAMPUNI YA USAMBAZAJI WA KAZI ZAKE…!!

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Usambazaji ya My Collection, Mussa Msuba akiwa katika duka la mauzo ya kazi za Jahazi. 


Msanii wa mziki wa taarabu, Mzee Yussuf kushoto akiangalia moja ya kazi zake ziliyokuwa feki zilizokamatwa na wasanii wenyewe kwa kushirikiana na kampuni ya steps entantainment ya jijini dar es salaam.... Courtesy of Dartalk.com

No comments:

Post a Comment