Tuesday 4 September 2012

BI. SWABAHA SALUM APORWA KATIKA ENEO LA GURAYA...

The Beauty Queen Bi. Swabaha Saalum

The Beauty Queen Bi. Swabaha Salum ameibiwa simu, kibeti na passport yake katika eneo la Guraya hivi majuzi na majambazi wasiojulikana.
Katika tukio hilo, Bi. Swabaha Salum hakupata majeraha yeyote japo kwa sasa ashaelekea zake jijini Dar-es Salaam Tanzania kutoka hapa mjini Mombasa.
Msanii huyu anaendelea kutamba katika tasnia ya taarab kwa kibao chake kinachofahamika kama 'Mapenzi hayana formula' miongoni mwa vibao vingine vya taarab.

No comments:

Post a Comment