Sunday 16 September 2012

BROTHER P AIBUKA NA VIDEO YA NGOMA YAKE YA 'SURE'.....

Mfalme wa Miduara wa Mombasa maarufu kama Brother P ametoa video ya kibao chake cha mduara kinachoitwa 'Sure'.

Alisema kuwa ameamua kutoa video ya ngoma hiyo kama zawadi kwa mashabiki wake ambao wamekuwa wakimsikia kwenye redio.

1 comment:

  1. hivi hawa waschana wanatheza nini jamani!!!! ovyoooooo hawakupigiwa ngoma!!

    ReplyDelete