Sunday 30 September 2012

AKSHAY KUMAR – TWINKLE KHANNA WABARIKIWA NA MTOTO WA KIKE...


Actor Akshay Kumar na mwenzake Twinkle Khanna wamebarikiwa kupata mtoto wa kike ambaye ni mwana wao wa pili katika ulimwengu wa Bollywood.
 
Bi. Twinkle alijifungua salama usalmini katika hopitali ya Breach Candy jijini Mumbai nchini India hivi karibuni.

Akshay Kumar alidhihirisha furaha yake kwa kusema, “We are blessed with a lovely baby girl who looks just like her mother and grandmother and I have no words to express my happiness – I would like to thank everyone for their blessings and best wishes.” 

Inasemekana kuwa Bi. Twinkle Khanna hakuwa katika hali nzuri wakati wa ujauzito wake japo wote kwa sasa yaani mama na mwana wako katika hali nzuri.

No comments:

Post a Comment