Thursday 6 September 2012

: KAREENA KAPOOR KARUDI NA KISHINDO KATIKA ULIMWENGU WA BOLLYWOOD

Actress Kareena Kapoor yuko katika pilkapilka za kubambisha filamu yake mpya ya kihindi inayofahamika kama ‘Heroine baada ya likizo ndefu na mpenzi wake Actor Saif Ali Khan huko London na Paris.

Alipoulizwa kuhusu harusi yake, Kareena alijibu,

“It's a Rajya Sabha debate. Everything I do, becomes a national issue, I could well be married you know. How would that make a difference? I could have been married three years ago and still done a Heroine. But yes you will know when I do.”

Filamu yake mpya ya ‘Heroine’ inatarajiwa kutoka wakati atakapokuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa mara ya 32 hivi karibuni.


No comments:

Post a Comment